andaa fondant yako
andaa mdoli wako
fwatilia maelekezo ya picha
andaa icing butter
paka icing butter kwenye keki yako iliyo na umbo la picha uitakayo
chora picha yako kwa kutumia black colour butter cream
anza kuremba keki yako kwa kutumia icing set kwa rangi unazotaka picha yako iwe nazo